JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Mamlaka

Mamlaka ya Ofisi ya Msajili ni kama yalivyoainishwa na instrument iliyochapishwa tarehe 22/04/2016 kwenye Gazeti la Serikali No 143 & 144 ikiwa na majukumu ya uratibu wa uhusiano katika vyama vya siasa na Serikali