JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Matukio katika Picha wakati wa Mafunzo kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa Ngazi ya Wilaya Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mafunzo kwa viongozi wa vyama vya siasa ngazi ya wilaya kuhusu Maadili ya Uchaguzi na vitendo vinavyokatazwa na Sheria ya Vyama vya siasa yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa yanafanyika nchini nzima katika Halmashauri zote za Mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar kwa lengo la kuvikumbusha vyama vya siasa kuzingatia wajibu wao wakati wote wa kampeni hadi siku ya kupiga kura