JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Jaji Mutungi akutana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika
Msajili wa Vyama vya Siasa (RPP),Jaji Francis Mutungi akutana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea leo jijini Dodoma.