Jaji Mutungi atoa wito Vyama vya Siasa kutatua Migogoro yao kwa njia ya maridhiaono ndani ya Vyama vyao wenyewe

Wito huo umetolewa leo wakati akifungua mafunzo kwa viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu masuala ya utekelezaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa