JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Kamati Mpya ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa wa Kabidhiwa Vitendea Kazi
Kikao cha Kwanza cha Kamati Mpya ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa wafanyika leo tarehe 27 Agosti 2021 jijini Dar es Salaam.