Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa lakutana Zanzibar Kujadili Maandalizi ya Mkutano wa Baraza
Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa limekutana mapema leo tarehe 23 April 2025 kwa lengo la maandalizi ya mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa unaotarajuwa kufanyika mapema mwezi Mei mkoani Morogoro.