Kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa wa Maandalizi ya Mkutano Maalum wa Wadau wa Demokrasia
Baraza laazimia mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kufanyika maapema mwezi Agosti 2023 ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Mhe, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mchakato wa Katiba