Mafunzo kwa Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa jijini Dodoma leo
Mafunzo hayo yametolewa ili kuwajengea uelewa namna ambavyo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inavyoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024
Hakuna taarifa