Mafunzo Ujazaji Fomu na 12 ya Marejesho ya Gharama za Uchaguzi 2021
Ofisi ya Msajili imeendelea na zoezi la kuwajengea uwezo viongozi wa kitaifa wa Vyama vya Siasa kuhusu ujazajiwa Fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi kwa Vyama vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu 2020.