Matukio katika picha Kikao cha Kamati ya Uongozi cha tarehe 11 Machi 2025 Mkoani Morogoro
Matukio katika picha Kikao cha Kamati ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa kilichofanyika tarehe 11 Machi 2025 katika Ukumbi wa Mikumi ulipo katika Hoteli ya Nashera, Morogoro. Kikao hicho ni maandalizi ya Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa utakaofanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 12 -13 Machi 2025.