Matukio katika picha Rais Samia Akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi leo Ikulu jijini Dar es Salaam
Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasi ya vyama vingi vya siasa wakamilisha na kukabidhi ripoti yao kwa Mhe. Rais Samia leo Ikulu jijini Dar es Salaam.