JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA MAFUNZO YA UJAZAJI FOMU ZA GHRAMA ZA UCHAGUZIKWA WAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KWAHANI ZANZIBAR
Wagombea Ubunge na Makatibu wa Vyama vyao wapigwa msasa ujazaji fomu z gharama za uchaguzi pamojana makatazo ya Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Gharama ya Uchaguzi