Matukio katika picha Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge, Utawala, Katiba na Sheria eneo la Ujenzi Ofisi Zanzibar
Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria katika eneo la mradi wa ujenzi wa Ofisi za Msajili wa Vyama vya Siasa lililopo Kisakasaka Zanzibar tarehe 19 Februari, 2025