JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Matukio Katika Picha Zoezi la Uhakiki wa Vyama vya Siasa likiedelea
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeanza zoezi la Uhakiki wa Vyama vya Siasa ambalo ni mahususi kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa sura namba 258 ambapo zozi hilo limeanza rasmi jana tarehe 29 kwa kufanya uhakiki katika vyama vinne hadi sa a ambavyo ni AAFP. NRA, UDP na NLD.