WAJUMBE WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA WAPEWA ELIMU KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE
Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa wajengewa uwezo kuhusu Bima ya Afya kwa Wote ambapo wataalamu kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wametoa elimu hiyo mafunzo yaliyofanyikia Katika Ukumbi wa Mikutano wa Michenzani Zanzibar