JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Msajili Aipongeza CHADEMA kwa Kudumisha Demokrasia
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ametoa pongezi kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kudumisha Demokrasia nchini.