JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Kuapishwa Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa aliapishwa Julai 2, 2018 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Jijini Dar es Salaam.