JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

UFUNGUZI WA MKUTANO WA WADAU KUJADILI HALI YA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA NCHINI TANZANIA
Rais Samia akifungua Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa nchini Tanzania