JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Rais Samia Amepokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kukusanya Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Nchini
Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kimewasilisha ripoti yake kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, lIkulu jijini Dar es Salaam.