JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Viongozi Vyama vya Siasa Zanzibar Wapongeza Zoezi la Uhakik
Zoezi la Vyama vya Siasa limeanza visiwani Zanzibar leo tarehe 19 Mei, 2025 ambapo vyama vitano tayari vimekwisha pitiwa na zoezi hili, vyama hivyo ni AAFP, DP, CCK, ADC pamoja na NCCR Mageuzi.