JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wapigwa Msasa kuelekea Zoezi la Uhakiki 2025
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeandaa mafunzo kwa ajili ya viongozi wa kada mbalimbali kwa vyama vya siasa upande wa Tanzania Zanzibar ikiwa ni maandalizi ya zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa.