JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Vyama vya Siasa 12 Visivyo na Uwakilishi Bungeni Vyatembelea Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Jijini Dodoma
Viongozi wa Vyama vya Siasa 12 Wamefanya Ziara ya Kutembelea Makao Makuu ya Ofisi ya Msajili wa Vyama jijini Dodoma