JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Vyama vya Siasa Vyaendelea Kunufaika na Mafunzo Elekezi ya Kuandaa Taarifa za Gharama za Uchaguzi
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeendelea kutoa mafunzo ya kuandaa ripoti ya gharama za uchaguzi kwa vyama vya siasa.