JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Wajumbe Baraza la Vyama vya Siasa wapewa somo ulinzi wa taarifa binafsi
Baraza la vyama vya siasa limekaa mkoani Morogoro kwa kikao cha siku mbili kuanzia tarehe 14 hadi 15 Mei, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Nashera Hotel ambapo mada kuhusu ulinzi wa taarifa binafsi iliwasilishwa.