Waziri Jenista Mhagama Akutana na Viongozi Wanawake wa Vyama vya Siasa Kujadili Ushiriki wa Wanawake Kwenye Tasnia ya Siasa
Waziri Jenista Mhagama amekutana na viongozi wanawake wa vyama vya saisa kujadili namna bora ya kuongeza ushiriki wa wanawake kwenye tasnia ya siasa na uongozi kwenye vyama vya siasa nchini.