JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Watumishi ORPP wajengewa uwezo masuala mbalimbali ya Utumishi wa Umma
Wafanyakazi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) wamejengewa uwezo kuhusu masuala mbalimbaili ya Utumishi wa Umma mapema hicv karibuni Jijini Dodoma.