JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Zoezi la Uhakiki Vyama vya Siasa laanza Dar es Salaam leo tarehe 3 Juni 2025
Zoezi la Uhakiki Vyama vya Siasa laanza Dar es Salaam leo tarehe 3 Juni 2025 ambapo Vyama viya Siasa vilivyohakikiwa leo ni pamoja na AAFP, NLD na NRA