Serikali Yatoa Msimamo Kuhusu Ushirikiano wa Vyama Vya Siasa Uchaguzi Mkuu 2020
Serikali imetoa onyo kwa vyama vya siasa ambavyo vitashirikiana kinyume na utaratibu uliowekwa kisheria.