JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

Vyama vya Siasa Vyapigwa Msasa Zoezi la Uhakiki
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amekutana na viongozi waandamizi wa vyama vya siasa vyenye usajili kamili kwa ajili ya maandalizi ya zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa.
Hakuna taarifa