Zoezi la Uhakiki wa Vyama vya Siasa Laendelea Zanzibar
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa limeanza zoezi la Uhakiki wa Vyama vya Siasa tarehe 19 Mei, 2025 Vizsiwani Zanzibar ambalo litadumu kwa siku nne hadi tarehe 22 Mei, 2025 kwa kutembelea Ofisi zote za vyama 19 vya siasa vyenye usajili kamili. Hadi sasa jumla ya vyama 10 vimehakikiwa ambavyo ni AAFP, DP, CCK, ADC, NCCR MAGEUZI, ADA - TADEA, MAKINI, NLD, NRA na CHAUMMA.
Hakuna taarifa